TANESCO Shinyanga mpo? Nguzo imevunjika inaning'inia hewani

Bahimba

JF-Expert Member
May 8, 2013
510
346
Hii ni zaidi ya hatari
Hapa Shinyanga, sehemu moja inaitwa Kitangili, ni zaidi ya masaa 8 na umeme ukiwa bado upo

b5923ef8bd8d8aa57adf1131f6b2bedc.jpg
 
Kwa hali hiyo kwa protection ya High Tension Umeme haiwezekani uwepo......huo uongo mkubwa.....hapo kwa hali hiyo Umeme ungekuwepo hata wewe usingeweza kupiga picha mzinga wake ni balaaa......Ustutanie.....
 
Wewe kweli Tomaso
 
Kwahiyo hata kama umeme haupo ndio inaruhusiwa nguzo kukaa hivi??????????????????// Bas zote zikatwe maana hakuna namna
 
Kwa hali hiyo kwa protection ya High Tension Umeme haiwezekani uwepo......huo uongo mkubwa.....hapo kwa hali hiyo Umeme ungekuwepo hata wewe usingeweza kupiga picha mzinga wake ni balaaa......Ustutanie.....
Dua zenu! naenda kuthibisisha umeme upo au haupo kwa kutumia balbu ya tochi!!
 
yaani badala ya kutoa taarifa tanesco unakimbilia kupost JF shabaaaaashiiiiii:mad::mad::mad::mad::mad::mad:
utakuwa kati ya 1:4
 
Sasa kwa akili yako unazani taarifa hajiwafikia wahusika....... Au na wewe ni Bashite kichwani mwako
 
Hii ni zaidi ya hatari
Hapa Shinyanga, sehemu moja inaitwa Kitangili, ni zaidi ya masaa 8 na umeme ukiwa bado upo

b5923ef8bd8d8aa57adf1131f6b2bedc.jpg
Mzee, hakuna umeme hapo! Ebu angalia nyaya (wa juu nawa chini) zilivyo short Circuit ktk hiyo High Tension pole.
 
Mimi hua nachukia sana wametulia tu! siajabu nataarifa wanazo wanangoja watu wapoteze maisha watuambie uchunguzi unaendlea
 
Back
Top Bottom