TANESCO Shinyanga mna siri gani kila mechi kubwa mnakata umeme?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,145
2,000
Suala hili limekuwa la kawaida kila inapokuwepo mechi kubwa.

Mechi za Simba na Yanga mnakata umeme zikiwa zimebaki dakika chache kuanza kwa mechi,halafu ikishaanza,dakika kumi baadae mnaurudisha.

Hii ni dharau na ukiritimba uliopitiliza kwa wateja.Hata hamuogopi utawala wa sasa?

Wapenzi wa soka tuna hasira sana na ninyi.Haya maudhi tuliyazoea zamani kabla ya mh.Magu,lakini sasa mmeanza mazoea. Inasikitisha
 

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,790
2,000
Tatizo ni hili
JamiiForums635312725.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom