TANESCO Shinyanga inaihujumu Serikali

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Ni mara nyingi mno niwalalamikia TISS kwa uzembe wa kutojua na kufuatilia mambo yenye tija kwa Taifa, badala yake wamekuwa wepesi kujua ni wapi wapinzani wanakutanika ili kudai katiba mpya.

Lakini kujua hujuma zinazofanywa na wafanyakazi waovu wa Serikali eti hawaijui. Taarifa za uhakika kutoka mkoani Shinyanyanga zimenifikia zikidai kuwa Shirika la umeme TANESCO katika wilaya mpya ya msalala maeneo yanayozunguka mgodi wa Bulyanhulu na vijiji vyake vya kakola, Bugarama na Ilogi yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa umeme kila mvua zinapotokea, yaani TANESCO eneo hilo wamechimbia nguzo kwa futi mbili badala ya futi nne kwenda chini kama inavyoshauriwa na wataalamu.

Lengo lao kila nguzo zinapoanguka wao hupiga Pesa za allowance na overtime zingine. Huu ni mkakati maalumu waliojiwekea ili wapige Pesa. Kwamba nguzo zinasimikwa legelege makusudi kabisa ili hata upepo mdogo tu ukitokea zianguke watu wapige Pesa.
Hii ni economic sabotage,na wameshafanya hivyo zaidi mara kumi.

Napoandika eneo lote hilo halina umeme eti nguzo zaidi ya 15 zimeanguka. Ajabu ni kwamba, maeneo hayo hayo yanayodaiwa kupigwa na upepo kuna nguzo bado zipo imara na hazijaanguka na zile zilizoanguka zimeanguka kwa kufuatana "series"yaani hata mjinga akiona anajua kabisa huu ni usanii mtupu.

Kwenye Taifa maskini kupindukia kama Tanzania umeme kufanyiwa hujuma ni ukatili wa kutisha huu. TISS,badilikeni mlinde Uchumi wa nchi na watu wake.

Hujuma kama hizi zimesambaa Tanzania nzima na hakuna wa kuwagusa Majambaz haya ya kiuchumi.
 
Acha wapige perdiem zao, mbona viongozi wa kisiasa wanajigia tuu?

Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake, over.
 
Safi sana!

Nashauri wazidishe mara 10 zaidi ya hapo!

Aliejaribu kututetea tulimtukana kwa kumuita dhalimu na dikteta!

Nashauri hao tanesco hapo shinyanga waongeze hujuma maana democrasia imetamalaki sana na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
 
Ikiwa hii Taarifa ina-ukweli basi nakuita mjinga hata kama napaswa kuheshimu mawazo yako Stupidity
 
Majukumu.

1. Jwtz kulinda mipaka.

2. Polisi kulinda raia na mali zao.

3. Tiss kulinda serikali hasa rais, makam na wazr mkuu na wale wa zenj 3, pia kulinda siri za nch kama mitihan ya necta, mwenge na uchaguz
 
Ni mara nyingi mno niwalalamikia TISS kwa uzembe wa kutojua na kufuatilia mambo yenye tija kwa Taifa, badala yake wamekuwa wepesi kujua ni wapi wapinzani wanakutanika ili kudai katiba mpya.

Lakini kujua hujuma zinazofanywa na wafanyakazi waovu wa Serikali eti hawaijui. Taarifa za uhakika kutoka mkoani Shinyanyanga zimenifikia zikidai kuwa Shirika la umeme TANESCO katika wilaya mpya ya msalala maeneo yanayozunguka mgodi wa Bulyanhulu na vijiji vyake vya kakola, Bugarama na Ilogi yamekuwa yakikumbwa na ukosefu wa umeme kila mvua zinapotokea, yaani TANESCO eneo hilo wamechimbia nguzo kwa futi mbili badala ya futi nne kwenda chini kama inavyoshauriwa na wataalamu.

Lengo lao kila nguzo zinapoanguka wao hupiga Pesa za allowance na overtime zingine. Huu ni mkakati maalumu waliojiwekea ili wapige Pesa. Kwamba nguzo zinasimikwa legelege makusudi kabisa ili hata upepo mdogo tu ukitokea zianguke watu wapige Pesa.
Hii ni economic sabotage,na wameshafanya hivyo zaidi mara kumi.

Napoandika eneo lote hilo halina umeme eti nguzo zaidi ya 15 zimeanguka. Ajabu ni kwamba, maeneo hayo hayo yanayodaiwa kupigwa na upepo kuna nguzo bado zipo imara na hazijaanguka na zile zilizoanguka zimeanguka kwa kufuatana "series"yaani hata mjinga akiona anajua kabisa huu ni usanii mtupu.

Kwenye Taifa maskini kupindukia kama Tanzania umeme kufanyiwa hujuma ni ukatili wa kutisha huu. TISS,badilikeni mlinde Uchumi wa nchi na watu wake.

Hujuma kama hizi zimesambaa Tanzania nzima na hakuna wa kuwagusa Majambaz haya ya kiuchumi.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Mna uwezo wa kumlinda? Msije mkampoteza member wa JF
 
Safi sana!

Nashauri wazidishe mara 10 zaidi ya hapo!

Aliejaribu kututetea tulimtukana kwa kumuita dhalimu na dikteta!

Nashauri hao tanesco hapo shinyanga waongeze hujuma maana democrasia imetamalaki sana na tunapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
Hamjui kama hii ni Jamii forums? Mnataka details zake za nini?
 
Back
Top Bottom