Tanesco sasa mtasababisha ajali zabarabarani zaidi yazaumeme!!

Codon

JF-Expert Member
Dec 16, 2011
629
93
Sikutatu nyuma Tanesco wamekuwa wakita matawi yamiti iliyokaribu nawaya zaumeme.Mimi nishaidi nimeona wamekata matawi barabara inayoelekea Bonyokwa,matawi haya mengi yameachwa barabarani nakufanya iwe ndogo hivyo ipitike kwashida mno nakwahatari sana!Swali,Ndio utaratibu wenu Tanesco?Je huu niustaarabu unaweza onyeshwa na Shirika kubwa kama hili?Au kwavile nibarabara ndogo isiyopitwa nawakuu wataifa hili?Ushauri,Badilikeni kwasasa Watanzania hawaliangalii Shirika lenu vizuri!Msiongeze matatizo kimtazamo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom