Tanesco sasa hivi wameanza mgao wa mtaa kwa mtaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco sasa hivi wameanza mgao wa mtaa kwa mtaa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Paul Kijoka, Jul 9, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huu ni ukweli kabisa kuwa sasa taanesko wameanza kutoa kutoa umeme mtaa moja na mwingine ili kuhakikisha umeme unatosha. Hapa kwetu Kimara wamekata mara 24 tangu saa 1 hd 4 unusu ila la kushangaza wanawasha mtaa jirani
   
 2. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wamerudisha sasa
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  sinza walikata alhamis saa tisa mchana wamerudisha leo jmosi alfajiri saa saba kasorobo imagine 2days gizani
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Bora mimi natumia solar!
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wiki ijayo wanaanza mgao wa nyumba kwa nyumba
   
 6. Bigjahman

  Bigjahman JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Cwanajua ata wawafanyaje watz hamna mtakalo fanya,zaid mtaongeaongea ka wa maza wa kswahl alaf iyo shda mtaizoea na maisha wataendelea
   
 7. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  heri mie nisieujua huo mgao labda grid ikorofishe
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mluu, inakuwa vip kama una nyama kwa jokofu let say kilo 20!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  noma mkuu kila kitu kinaoza. nchi haina mwenyewe
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Suluhu ni kibatari kama unahitaji mwanga!
  mtungi kama unahitaji maji ya baridi!
  kuni kama unahitaji kupika!
   
 11. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mafuta ya taa yamepanda mkuu.
   
Loading...