TANESCO Report: Kipengere kwa kipengere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO Report: Kipengere kwa kipengere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MegaPyne, Oct 15, 2007.

 1. Tuanze na hi ya Richmond Kwanza..

  Tender
  PC/10/2006 for Emergency Power Supply from rental Gas Based Generating Plant of 100MW


  Summary of issues in the tender

   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2007
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CMB,

  Hii ni moja ya sababu zinazomfanya Lowasa kuanza kujikosha na kuattack thisday eti wanaleta issue ya zamani...

  Hii skendo ni kubwa na ukiongeza hii kwenye iptl, kila kitu kinastink....

  Kuna watu wanasema kuwa JK ni mtu safi ila ana watendaji wabovu, hivi kweli JK hana hii report au ameridhika na report ya PCCB ambayo kazi yake ilikuwa ni kuidhinisha report ya serikali kuhusu Richmond......

  MUNGU wetu tusaidie.... jamaa wameamua kutumaliza watanzania
   
 3. Alafu ThisDay watasema. "Kwa ya ndani kabisa ya ukaguzi wa TANESCO inasema bla bla bla"

  This thing is very very big, Watanzania wengi wameshaisahahu. si unajua serikali inavyojua kuSpin mambo! Checki hii ya buzwagi ilivyokuwa spined
   
 4. A

  August JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2007
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  halafu mfumuko wa bei wata singizia petrol na ukame. kumbe ukame wenyewe na mfumuko wa bei tunauleta thithi, kwa kwa ufisadi
   
 5. Icadon

  Icadon JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2007
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 3,589
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Anaweza kuwa nayo ila swali la kujiuliza kaisoma..yote kwa undani ama alipitia opening na kuangalia nani kaweka sahihi yaliyoko katikati ni juu ya aliyechapa.
   
 6. M

  Mgaya JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2007
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 520
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CMB endelea kutuletea parts zaidi za mkataba wa richmond
   
 7. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2007
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  waungwana, kama tulivyokwisha sema, TANZANIA TUNAUZWA WAKATI TUNAONA. Lowassa na JK mwenyewe wanajua bado mambo ni business as usual kwamba watanzania hatujui kinachoendela. ukweli ni kwamba maisha yamekuwa magumu na watu tunajiuliza iweje hali iendelee kuwa ngumu hivi wakati watu wachache wanazidi kuwa matajiri wa kutupa?

  We angalia huo uhuni wa Richmond, Buzwagi nk, hivi hayo mamilion hata kama wangeiba 10% tuu, unafikiri mamilion mangapi yangepatikana kutukomboa watanzania? Mtu anaweza ona kama 100m$$ ni hela ndogo, lakini ukweli ni kwamba kwa nchi maskini kama TZ hiyo ni hela nyingi mno na kama ingetumika vyema inge-make difference kubwa sana.

  Mi nadhani wananchi tufike sehemu tuseme NO! After all hii nchi siyo kampuni ni yetu wote! Iweje watu wanakila kitu lakini bado wana uroho hata hela ya kununulia vyandarua zahanati wanaiba? ni watu gani hao wanaofikiria wananchi interms of votes pekee? as if wananchi waliandikiwa umskini kwenye paji la uso? Lowassa anatufanya tuamini kwamba umasikini ni muhuri wa moto ambao hauwezi futika!

  Watanzania tuamke, kila mtu ajione kama stakeholder wa nchi yetu na kumbuka wewe unayebonyeza keybord hapa ni mtu mmoja katika ukoo aliyebahatika kuibonyeza hata hiyo compyuta (wengi wetu tunatoka katika umaskini).

  Tumesoma tumeelewa na sasa naweza kusema kwamba tutumie elimu ya duniani na ya darasani kujikomboa. The fact kwamba Lowassa anakula mkate wa siagi kwa jasho letu, haina maana kwamba baba yangu kwimba akila "siagi" atatapika, bali ni kwa sababu haipati. Na ni kwa sababu ya watu kama hawa ndo maana "siagi" haipatikani na ikipatikana wanakula wateule. Kwa nini?
   
Loading...