masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,857
- 13,140
TABATA KINYEREZI!
TANESCO ya Kalemani wa mwendazake hiyo!Aisee
Huyo mama kama an nia ya kufanya hivyo, mtoto anataka kunig'inia.Wasije wakaanikia nguo tu hapo
Ova
Kasema ipo hivyo mwaka nzima kwahiyo atakataza watoto wangapiJamaa badala ya kumzuia mtoto asichezee waya,anachukua video wakuu waone.
Acha kuabudu wafu.TANESCO ya Kalemani wa mwendazake hiyo!
Mbona hiyo ipo nchi nzima, na hata wakiambiwa hawafiki sanasana wanakurushia vijembe ati tumepitwa na wakati waya zao zipo insulated,View attachment 1794009
TABATA KINYEREZI!
Pangua kuanzia juu mpaka chini weka timu mpya ya watendaji waliopo wamechoka kaziView attachment 1794009
TABATA KINYEREZI!
Zipo nyingi sana waya za dizaini hiyo, kama kila mtu atapiga picha na kurusha humu basi MD wao na ma regional manager itabidi wawajibishweKasema ipo hivyo mwaka nzima kwahiyo atakataza watoto wangapi
mbona siioni hiyo video jmn .haifungukiView attachment 1794009
TABATA KINYEREZI!
Huyu mzazi sijui mzee ane ongea hapo ni mseng.e plus plus... anashindwa toa elimu au kuepusha kwa kukamtaza mtoto anakaa ana record video.. ningekuwa karibu ningemtia makofi kabisaView attachment 1794009
TABATA KINYEREZI!
Halafu imagine unafukuzwa na wananchi wenye hasira kali!"usishike wala kukaribia nyaya zilizodondoka, toa taarifa tanesco"
hizo nyaya hazijadondoka bado, wacha washike
Tunashukuru kwa taarifaView attachment 1794009
TABATA KINYEREZI!