S V Surovikin
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 13,615
- 32,711
Hii serikali haipendi kukubali kama kuna tatizo!Hapana,hii sio kweli,ni scapegoat.Kama umeme hautoshi waanze mgao basi,ili tujue moja.Na kwa nini wasiseme tukajua moja kama tatizo ni uhaba wa umeme?No,kwa jinsi umeme unavyokatika na kuwaka,hili si suala la uhaba wa umeme,kuna matatizo mengine.