TANESCO ni kero, Umeme unakatika bila taarifa

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Tunaaminishwa Tanzania ya Viwanda ili hali uhakika wa Nishati ya Umeme bado ni kitendawili. Umeme una katika katika bila taarifa yoyote. Tulihakikishiwa Umeme wa Gesi, lakini bado sioni nafuu yoyote.

Tuanze na kauli mbiu ya Tanzania ya Umeme. Hii ya Viwanda bado.
 
Back
Top Bottom