Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,209
Ndugu wana JF nalazimika kuileta habari hapa jamvini kutokana na matatizo tunayoyapata wananchi juu Huduma isiyoridhisha ya shirika letu pekee la umeme Tanesco.
Limekuwa jambo la kawaida kila siku unaposoma magazeti lazima ukute taarifa ya kukata umeme maeneo mbalimbali nchini.
Tumekuwa tukielezwa mara kwa mara kwamba tatizo la kukatika umeme lingefikia mwisho lakini imekuwa ni ndoto.
Mara nyingine unaweza ukaona tangazo la katizo la umeme kwa siku nzima huku sababu eti za kukata miti.
Namuomba Mhe Rais alitumbue hili jipu kabla halijatumbuka lenyewe maana limeisha iva sana.