TANESCO nguzo zimekwisha mpaka kutumia mti wa mnazi

Kazi hii imeshafanyiwa kazi tafadhali
Pamoja.na.kufanyiwa kazi mlichokifanya NI sahihi? aliyesaini hiyo Job Card anatakiwa awajibishwe kwa uzembe na kutaka kuhatarisha maisha ya WANANCHI wa eneo hilo
 
Kazi hii imeshafanyiwa kazi tafadhali
@TANESCO tangu mwaka jana mafundi wenu hawaitikii wito. Na hapo umeme upo tele na watoto hucheza
20220702_020502.jpg
20220509_143300.jpg
 
Back
Top Bottom