TANESCO nguzo zimekwisha mpaka kutumia mti wa mnazi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
#TAARIFA Msomaji wetu Ustadh Ahmed, Mkazi wa Tegeta IPTL ametutumia video akiwa na malalamiko kwa Shirika la Umeme (Tanesco ) kutumia mti wa MNAZI badala ya NGUZO kufunga nyanya za umeme.

NDUGU mwana habari nimetuma video hii kutoka katika eneo hili la Msikiti wa Masjidu Sshsiyat mkabala na Shule ya Sekondari Kosyamu maarufu kwa Suzi. Kulitokea tatizo la kuanguka kwa nguzo ya umeme ambayo ilikuwa imeoza tukatoa taarifa kwa wahusika ambao ni TANESCO kupitia vitengo vyao vya kazi na walipokuja waliamisha zile waya na kuzifungia kwenye MNAZI kama unavyoona kwenye hiyo video, baada ya kitendo hicho tulitoa taarifa kwa wahusuka mara kadhaa hadi nakumbuka siku moja niliiona gari ya TANESCO iko mtaani kwetu na wafanyakazi wake nikawaonyesha hili tatizo na wakakili kwamba kuna makosa makubwa yamefanyika wakanambia nitoe tena taarifa lakini hatukupata ushrikiano wao kwa kututatulia tatizo hili.

Mwaka huu tukaanzisha ujenzi wa ukuta wa msikiti wetu na huo MNAZI utatakiwa kuondolewa kwa sababu upo katika eneo ambalo ukuta unatakiwa upite, na tukawapa taarifa na nakumbuka ujenzi wa ukuta tulianza mwezi Machi mwaka huu lakini ndugu mwandishi kila ukipiga simu Tanesco kazi yao ni kuulizia namba za RIPOTI na nazi zetu hazikomai zinapukutika, tusaidie taarifa hii iwafikiwe wakubwa.

Asante ni mimi msomaji wenu Ustadh Ahmed.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
IMG_2182.jpg

video hipo page ya nipashe
 
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabariView attachment 2002874
video hipo page ya nipashe
Kazi hii imeshafanyiwa kazi tafadhali
 
Tanesco kama mko hapa....
Fanyeni mrudishe umeme hapa MBAGALA KIPATI,mbele ya kituo cha sabasaba na karibu na St Antony....mmekata umeme toka saa 9 alfajiri....na haujarudi mpaKa sasa.

Kama kuna hitilafu umeme umeshindwa rudi mtujuze.
 
#TAARIFA Msomaji wetu Ustadh Ahmed, Mkazi wa Tegeta IPTL ametutumia video akiwa na malalamiko kwa Shirika la Umeme (Tanesco ) kutumia mti wa MNAZI badala ya NGUZO kufunga nyanya za umeme.

NDUGU mwana habari nimetuma video hii kutoka katika eneo hili la Msikiti wa Masjidu Sshsiyat mkabala na Shule ya Sekondari Kosyamu maarufu kwa Suzi. Kulitokea tatizo la kuanguka kwa nguzo ya umeme ambayo ilikuwa imeoza tukatoa taarifa kwa wahusika ambao ni TANESCO kupitia vitengo vyao vya kazi na walipokuja waliamisha zile waya na kuzifungia kwenye MNAZI kama unavyoona kwenye hiyo video, baada ya kitendo hicho tulitoa taarifa kwa wahusuka mara kadhaa hadi nakumbuka siku moja niliiona gari ya TANESCO iko mtaani kwetu na wafanyakazi wake nikawaonyesha hili tatizo na wakakili kwamba kuna makosa makubwa yamefanyika wakanambia nitoe tena taarifa lakini hatukupata ushrikiano wao kwa kututatulia tatizo hili.

Mwaka huu tukaanzisha ujenzi wa ukuta wa msikiti wetu na huo MNAZI utatakiwa kuondolewa kwa sababu upo katika eneo ambalo ukuta unatakiwa upite, na tukawapa taarifa na nakumbuka ujenzi wa ukuta tulianza mwezi Machi mwaka huu lakini ndugu mwandishi kila ukipiga simu Tanesco kazi yao ni kuulizia namba za RIPOTI na nazi zetu hazikomai zinapukutika, tusaidie taarifa hii iwafikiwe wakubwa.

Asante ni mimi msomaji wenu Ustadh Ahmed.

#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabariView attachment 2002874
video hipo page ya nipashe
Genius
 
Back
Top Bottom