Tanesco nao waanza kuwanyoosha wapiga kura. Hivi Rais anayaona haya?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Taarifa kwa umma kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikielezea kuhusu uhamishwaji wateja kutoka kundi la matumizi madogo ya umeme (D1) kwenda kwenye kundi la matumizi ya kati (T1).
Aidha, @tanescoyetu imeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
20210729_081413.jpg
 
Zanzibar inadaiwa mabilioni ya umeme wetu, wamegoma kulipa. Sisi wanyonge tunaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi tunaongezewa bei ili ku-subsidize wazanzibari?! Kataeni upumbavu huu. Tumekamuliwa hatuna cha kupoteza tena.
 
Bado sijaelewa kwanini tuuziwe umeme kwa bei tofauti tofauti!? Kwanini sote tusiuziwe uniti 1 kwa 133, kila mtu atalioa kwa matumizi yake, na si hii janja janja mnayoleta..

Mtaani kwangu unit 75 zinakata mwezi na wiki hiv.. Lakini bado mtu unauziwa umeme wa unit 14 kwa elfu 5..

Nchi hii ina chenga za messi na mashuti ya ronaldo
Kwenye umeme wanachuku wanaweka, waah!!
Kwenye tozo wanachukua wanaweka waah!!
Mishahara ikiingia wanachukua wanaweka waah!
Kwenye mafuta, wanachukua wanaweka waah!!
 
Taarifa kwa umma kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikielezea kuhusu uhamishwaji wateja kutoka kundi la matumizi madogo ya umeme (D1) kwenda kwenye kundi la matumizi ya kati (T1).
Aidha, @tanescoyetu imeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
#DARMPYABLOGUPDATES https://t.co/3mMDnuDdJX
Beatrice, unaendeleaje? Kuna siku uliweka thread ya kuhuzunisha sana kuhusu afya yako.

Vv
 
Bado sijaelewa kwanini tuuziwe umeme kwa bei tofauti tofauti!? Kwanini sote tusiuziwe uniti 1 kwa 133, kila mtu atalioa kwa matumizi yake, na si hii janja janja mnayoleta..

Mtaani kwangu unit 75 zinakata mwezi na wiki hiv.. Lakini bado mtu unauziwa umeme wa unit 14 kwa elfu 5..

Nchi hii ina chenga za messi na mashuti ya ronaldo
Kwenye umeme wanachuku wanaweka, waah!!
Kwenye tozo wanachukua wanaweka waah!!
Mishahara ikiingia wanachukua wanaweka waah!
Kwenye mafuta, wanachukua wanaweka waah!!
Ujinga wa mwananchi mtaji wa mwanasiasa!
 
Taarifa kwa umma kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikielezea kuhusu uhamishwaji wateja kutoka kundi la matumizi madogo ya umeme (D1) kwenda kwenye kundi la matumizi ya kati (T1).
Aidha, @tanescoyetu imeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
#DARMPYABLOGUPDATES https://t.co/3mMDnuDdJX
Iringa mjini watumishi wa TANESCO wanaomba rushwa ya Tsh.200,000 kwa umeme wa Tsh.27,000.Ni wahuni sana.Jamaa zangu wanalia tu.
 
Back
Top Bottom