TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,368
2,000
Kumbe hata wana CCM mnakatwa? Hiyo siyo vizuri. Hawajui kuwa nyie ndio wafia chama?
 

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
6,970
2,000
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00

Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Bora wewe mimi nimetest nimekatwa umebaki 0.5KWH
 

Iringakwanza

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
756
1,000
Ata Mimi sijauelewa huu mchanganuo nimenunua umeme wa elfu kumi

2021_08_21_21.30.54.jpg
 

Iringakwanza

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
756
1,000
Ukistaajabu ya Tanesco utayaona ya NMB
Bank zikianza huo ujinga zitafilisika moja baada ya nyingine wazir nae wa tozo anafurah mapato yaliyopatikan bila kujua watu wengi wametoa pesa zao zilizokuwepo kabla ya tozo hivyo mapato yapatikane mengi ngoja tusubiri wiki nne zijazo
 

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,991
2,000
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00

Kweli Umeme wa 5,000 unit 1.5 kwahiyo ndo mumeamua kuwa majambazi kiasi hicho.
TANESCO naomba mjibu
Sijaona tozo kwangu...hapa Sina Tarrif
Name:TANESCO
MeterNo:3720896****
Receipt: 9900621344102423434
Units: 8.5
Token: 2217 2568 0380 8543 1342
Amount:TSh 2459.02
Tax: VAT 18% TSH 442.62 EWURA 1% TSH 24.59 REA 3% TSH 73.77 Total Tsh 3000.
Ref: EC101015626777
 

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
7,944
2,000
Sijaona tozo kwangu...hapa Sina Tarrif
Name:TANESCO
MeterNo:3720896****
Receipt: 9900621344102423434
Units: 8.5
Token: 2217 2568 0380 8543 1342
Amount:TSh 2459.02
Tax: VAT 18% TSH 442.62 EWURA 1% TSH 24.59 REA 3% TSH 73.77 Total Tsh 3000.
Ref: EC101015626777
Dah mkuu unabata sana wengine tulio kwenye hizo tarrif zao ndo tunahangaika.

LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
 

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,991
2,000
Dah mkuu unabata sana wengine tulio kwenye hizo tarrif zao ndo tunahangaika.

LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH

0029 2493 0496 3524 7260

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
mateso bila chuki.
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,669
2,000
Daah pole sana mkuu.
Hivi zamani nyie wenye nyumba mlikua mnalipaje hizo kodi??
Naomba kujua wakuu maana kwenye lile tangazo walisema mwanzo mlikua mnalipa elfu kumi, hiyo ela mlikua mnalipaje?? Na kama hujalipa ni hatua gani zilikua zinachukuliwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom