Tanesco na Manispa

shabbirmoawalla

New Member
Sep 9, 2008
3
0
Ndugu zanguni habari za saa hizi
Mimi na duku duku langu na kilio kwamba tunaibiwa mamilioni na hawa jamaa wa Tanesco,EWURA na sasa wameungia hawa Manispaa.
ETi sasa wanatufanya tulipe TAA ZA BARABARANI inayowaka sehemu kadha za DSM.
Mwananchi hebu angalia vizuri hili ankara yako ya LUKU.Utaona unakatiwa kodi nyingi bila wewe kujua au kutaka,kuna VAT,halafu wakaleta EWURA na sasa kiujanja wameleta MUNUCIPAL TAX.Je hii ndiyo nini? Vipi wabunge wamelipita hilo? Naomba maoni yenu na ushauri wenu
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom