TANESCO na Kukata Umeme Bila Utaratibu

Kishazi

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
491
250
Hivi wanajamvi, haka katabia ka TANESCO kuchezea switch kila ikifika saa mbili na kuendelea mpaka kwenye saa tatu hivi kila siku ni kwa baadhi ya maeneo tu hapa Dar au kila sehemu..? Mara ukatwe ghafla mara uwashwe mara ukatwe mara uwashwe utafikiri ni kamchezo... Au ndio hasira za ESCROW..!!!..?
 

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,730
2,000
sijui watasingizia nini...mafuta yameshuka bei soka la dunia, maji yamejaa kwenye mabwawa,...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom