tanesco na kukata umeme bila taarifa

Novatus

JF-Expert Member
Jul 28, 2007
330
37
Nimekuwa nikerwa na Tanesco kwa kitendo chao cha kukata umeme bila taarifa.

hii inahusisha wakati wamepanga matengenezo hivyo sio dharula. Ni mara nyingi tunaaribikiwa na vitu lakini naona hakuna sheria ya kutulinda.

Hivi wana JF nawezaje kupata haki hii?
 
Huo ndio mchezo wa sasa hivi..Hakuna taarifa wakati wa kukata, na hakuna apology wakirudisha, ni wanajifanyia wanavyotaka...sielewi kama huwa wanajifunza customer care hawawatu, na sijui kama wanaelewa maana ya mteja!...
 
Tanesco ni tatizo,
nadhani muda umefika kwao KUWAJIBIKA kwa watutendeayo sisi wananchi, lakini pia ziwekwe sheria mahsusi kwa ukataji ovyo wa umeme ama mgao utokeapo iwe ni bayana na kwamba waendapo mrama basi WAWAJIBISHWE.
 
mkuu oana tu pale msemaji wao anapotoka hadharani kupitia vyombo vya habari kisha anatanga akuna mgao wa umeme baada ya wiki anatoka tena nakutangaza kuanza mgao wa umeme then mdasimrefu tena anatangaza kuisha mgao wa umeme tena nchi nzima mda huo huo watuwanakatiwa umeme tena kwa mda ule ule wa mgao tena na zaidi watu wa gmboto, banana wanajua ninachosema
 
Tanesco ni tatizo,
nadhani muda umefika kwao KUWAJIBIKA kwa watutendeayo sisi wananchi, lakini pia ziwekwe sheria mahsusi kwa ukataji ovyo wa umeme ama mgao utokeapo iwe ni bayana na kwamba waendapo mrama basi WAWAJIBISHWE.

sijawahi kuona mikataba yao na wateja na kama ipo itakuwa inawalinda wao zaidi na kutubana wateja
 
Back
Top Bottom