TANESCO na DAWASA kama mnayofanya ni makusudi, sio vizuri kabisa!

NAAMBIWA MANAGER DAWASA KAWE ANA POSHO YAKE YA WAUZA MAJI KWENYE MABOZA,MAJIHAWAYAFUNGULII YOTE ENEO LA KWA SANYA TUNAKOSA MAJI
 
Tukianza na TANESCO, sijui mmekuaje hizi siku. Mnakata umeme siku nzima hafu hamna mnachosema.

DAWASA na nyie mshakya viburi. Mnakata maji mnarudisha saa 4 usiku hafu mnakata tena saa 11 asubuhi.

Kama ni matatizo technical mtuambie mapema basi.
Niko Masaki muda huu wamekata tena
 
Back
Top Bottom