...Kuna habari kuwa Tanesco inajipanga ili iweze kupeleka mapendekezo ya kupandisha bei ya umeme kwenye Mamlaka ya udhibiti wa Nishati (EWURA).
Ikumbukwe kuwa mwishoni mwa mwaka jana Tanesco ilipendekeza kwa EWURA ongezeko la bei ya umeme kwa 40% lakini waligomewa na hatimaye kuruhusiwa kuongeza bei kwa 21%......
Endapo EWURA italidhia maombi ya Tanesco kuongeza bei ya nishati hiyo muhimu hilo litakuwa pigo lingine kwa watanzania katika ongezeko la gharama za maisha kufuatia kuongezeka kwa nauli za mabasi kuanzia tarehe 1.Agosti.2008 kwa karibu 20%...