TANESCO Mwanza line ya Nyegezi ni jipu

Fim17

New Member
Nov 19, 2016
3
2
Nikiwa kama mkazi wa maeneo yanayodumiwa na line ya Nyegezi nasikitishwa na kukerwa sana na ukatikaji wa umeme kwa line hii. Ni keroo, mvua akinyesha kidogo na upepo umeme unakatika, kila mara nimekuwa nikiwapigia TANESCO na majibu yamekuwa kwamba inashughulikiwa kupata ufumbuzi wa kudumu.

Mara kwa mara wamekuwa wakikata umeme kwa kile kinachoitwa matengenezo ya kupata ufumbuzi wa kudumu lakini tatizo liko pale pale.

Wahusika oneni aibu kwa tatizo hili kuwa la kujirudia mara kwa mara, watanzania wenzenu wanaathirika kwa hili wana biashara ambazo zinategemea umeme kuziendesha.
 
Mkuu sio mpaka mvua inyeshe hata kukiwa na jua lazima wakate tena wana mchezo wa kukatakata ovyo na per day wanaweza kukata na kurudisha hata mara tano
 
Nikiwa kama mkazi wa maeneo yanayodumiwa na line ya Nyegezi nasikitishwa na kukerwa sana na ukatikaji wa umeme kwa line hii. Ni keroo, mvua akinyesha kidogo na upepo umeme unakatika, kila mara nimekuwa nikiwapigia TANESCO na majibu yamekuwa kwamba inashughulikiwa kupata ufumbuzi wa kudumu.

Mara kwa mara wamekuwa wakikata umeme kwa kile kinachoitwa matengenezo ya kupata ufumbuzi wa kudumu lakini tatizo liko pale pale.

Wahusika oneni aibu kwa tatizo hili kuwa la kujirudia mara kwa mara, watanzania wenzenu wanaathirika kwa hili wana biashara ambazo zinategemea umeme kuziendesha.

Mbona mie namie kwenye laini ya Nyegezi nipo lakini umeme hausumbui....nahisi nyumba yako tu
 
Poleni kinachowakumba ni experience iliyonikuta Kigamboni kwenye miaka ya nyuma (kata kuanzia 2015). Ilikua haipiti siku mbili bila umeme kukatwa na ukikatwa unaweza kukaa mpaka wiki bila umeme.
Na hayo maeneo wanachuo wengi wanaishi hivyo kujisomea na kufanya kazi za chuo inakua utata.

Bora nyinyi simu zenu zinapokelewa sisi mara nyingi ilikua unapiga hawapokei wakipokea ni mtabishana tu hapo, ukituma email hazijibiwi.

Poleni jamani.
 
Nikiwa kama mkazi wa maeneo yanayodumiwa na line ya Nyegezi nasikitishwa na kukerwa sana na ukatikaji wa umeme kwa line hii. Ni keroo, mvua akinyesha kidogo na upepo umeme unakatika, kila mara nimekuwa nikiwapigia TANESCO na majibu yamekuwa kwamba inashughulikiwa kupata ufumbuzi wa kudumu.

Mara kwa mara wamekuwa wakikata umeme kwa kile kinachoitwa matengenezo ya kupata ufumbuzi wa kudumu lakini tatizo liko pale pale.

Wahusika oneni aibu kwa tatizo hili kuwa la kujirudia mara kwa mara, watanzania wenzenu wanaathirika kwa hili wana biashara ambazo zinategemea umeme kuziendesha.
Jamaa ni kama umenisemea na mimi hapa angalau nimefarijika,umeme ukikatika Nyegezi hapo mpaka kwetu Usagara unakatika aisee,kimvua kidogo tu na kiupepo cha kawaida utaona umeme umekata,afu unarudi na kukata tena,yaani hua naboreka kupita kiasi,sijui kuna mafundi gani eneo hili au tatizo ni nini?na hii nafikili ni Tanesco ya pale Mkolani ndo wanashughulika na umeme wa upande wetu huu,kwa kweli mnakera sanaaaaaa
 
Mbona mie namie kwenye laini ya Nyegezi nipo lakini umeme hausumbui....nahisi nyumba yako tu
Utakua mtumishi wa hilo shirika wewe,habari hii ni ya kweli,TANESCO kwa upande huo mpaka Usagara ni jipu
 
Jamaa ni kama umenisemea na mimi hapa angalau nimefarijika,umeme ukikatika Nyegezi hapo mpaka kwetu Usagara unakatika aisee,kimvua kidogo tu na kiupepo cha kawaida utaona umeme umekata,afu unarudi na kukata tena,yaani hua naboreka kupita kiasi,sijui kuna mafundi gani eneo hili au tatizo ni nini?na hii nafikili ni Tanesco ya pale Mkolani ndo wanashughulika na umeme wa upande wetu huu,kwa kweli mnakera sanaaaaaa
Nilichat na Manager wa TANESCO mkoa akasema wanalishughulikia lakini naona bado. Jumamosi tarehe 19 walikata umeme wakidai wanafanya matengenezo ya kuboresha lakini naona bado tatizo lipo
 
Mbona mie namie kwenye laini ya Nyegezi nipo lakini umeme hausumbui....nahisi nyumba yako tu
Mkuu, kwenye mambo ya msingi kama haya...tafadhali acha utani kabisa!
Nyegezi umeme unasumbua sana halafu wewe unaleta ujinga hapa!!!
 
Nilichat na Manager wa TANESCO mkoa akasema wanalishughulikia lakini naona bado. Jumamosi tarehe 19 walikata umeme wakidai wanafanya matengenezo ya kuboresha lakini naona bado tatizo lipo
Ni shida ndugu we acha tu,hapa ndo narudi home na ninaona kuna kaupepo ka mvua,najiandaa kulala mapema maana hawachelewi,yaani unaweza pata dhambi kwa kuwatukana hata kama huwajui aisee
 
Nilichat na Manager wa TANESCO mkoa akasema wanalishughulikia lakini naona bado. Jumamosi tarehe 19 walikata umeme wakidai wanafanya matengenezo ya kuboresha lakini naona bado tatizo lipo
Hawa jamaa ni wapuuzi sana.
 
Back
Top Bottom