Nikiwa kama mkazi wa maeneo yanayodumiwa na line ya Nyegezi nasikitishwa na kukerwa sana na ukatikaji wa umeme kwa line hii. Ni keroo, mvua akinyesha kidogo na upepo umeme unakatika, kila mara nimekuwa nikiwapigia TANESCO na majibu yamekuwa kwamba inashughulikiwa kupata ufumbuzi wa kudumu.
Mara kwa mara wamekuwa wakikata umeme kwa kile kinachoitwa matengenezo ya kupata ufumbuzi wa kudumu lakini tatizo liko pale pale.
Wahusika oneni aibu kwa tatizo hili kuwa la kujirudia mara kwa mara, watanzania wenzenu wanaathirika kwa hili wana biashara ambazo zinategemea umeme kuziendesha.