Tanesco Mwanza kama kuna Mgao wa Umeme tangazeni, leo ni siku ya 4 mnakata umeme asubuhi mnarudisha jioni

Hovyo kabsa watu mnaishi kimachalechale shughuli zinasimama bila mpango na kuna watu wapo tu hawajatoa taarifa kwa wananchi
 
Huu ni ushezi kabisavwanakata umeme kila siku asubuhi na kurudiaha jioni bila taarifa yoyote. Hii nchi ina mambo ya hovyo sana! Ni Kero sana kwa watu wa Mwanza.
 
Wasukuma punguzen idadi ya ng'ombe. Ng'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku .......mtu una ng'ombe 500

Kwa mwezi wanakunywa lita za maji 350,000

Kwa mwaka wanakunywa lita 127750000

Hamjui kuwa mnaleta climate changes na kuleta uhaba wa maji na kupelekea ......umeme kusumbua

Mgawo wa umeme mnaleta nyie
 
Mashine za pale mnadani, tanesco zinafanya kaZi chini ya kiwango. Muwe wavumilivu kipindi hiki tunatafuta sapulaya wa mafuta kuendesha mashine.
 
Kila ikifika asubui Wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
Mbeya
Kila ikifika asubui Wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
Mbeya ni vivyohivyo Mkuu! Kumbe ni majanga aisee!! Hivi ninavyoandika hii message hatuna umeme toka asubuhi!
 
Wasukuma punguzen idadi ya ng'ombe.......ng'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku .......mtu una ng'ombe 500

Kwa mwezi wanakunywa lita za maji 350,000

Kwa mwaka wanakunywa lita 127750000

Hamjui kuwa mnaleta climate changes na kuleta uhaba wa maji na kupelekea ......umeme kusumbua

Mgawo wa umeme mnaleta nyie
Huu utafiti umefanyia wapi? Hao ng'ombe walikuwepo toka zamani ushawahi kuona huu upuuzi ukitokea
 
Kila ikifika asubui Wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Acheni uhuni nyie, mnaua biashara za watu halafu mwisho wa mwezi mnalipwa mishahara inayotokana na kodi zetu kwenye hizo hizo biashara mnazozikatia umeme kila siku!!!
 
Back
Top Bottom