Tanesco Musoma Mjini Umeme Tatizo Kubwa

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,372
6,078
Ni jambo la kusikitisha sana kwa muda wa masaa 48 sehemu kubwa ya kata ya Rwamlimi hakuna umeme na mpaka sasa inaonekana hakuna ufumbuzi ama maelezo kutoka Tanesco.
Mheshimiwa MD wa Tanesco fuatilia tatizo hili kwani watu wamepata hasara kubwa haswa wafanyabiashara wa samaria.
 
I mean wafanyabiashara wa Samaki
 
Back
Top Bottom