TANESCO msikate umeme Wiki ijayo

Nov 4, 2014
70
20
Tanesco wanaweza kutumiwa week hii inayokuja wakati ambapo Report ya CAG itawasiliwashwa katika Bunge na kujadiliwe.Naomba tuungane kwa pamoja wana JF kupaza sauti na kutoa angalizo kwa Tanesco kutokata Umeme wiki inayokuja.
 
Weeeeeee.......... yaani Wakikata, hayo matusi nitakayowatukana hawatayasahau hadi kaburini!
 
Hata wakikata tutapata updates kupitia waliomo humo humo bungeni maana wapo wengi humu JF
 
Naona kuna mgao jijini Dar. Leo mjini hakuna umeme tangu asubuhi sasa hivi tena wamekata usiku. Laiti sector hii isingekuwa monopolistic ningeshahama Tanesco.
 
Back
Top Bottom