Lambert Mende
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 210
- 43
Miezi kama mitatu (04) iliyopita TANESCO wameanza kuweka umeme kwenye block tajwa hapo juu, na taarifa zilizopo ni kwamba mzabuni ameshapewa pesa za kumaliza mradi huu, kinachoshangaza mradi huu unajengwa kwa jinsi ambavyo mkandarasi anavyotaka yeye.
Maeneo ya block 19 yamewekewa waya za kuunganisha umeme tayari, maeneo ya block 18 na 20 hayajukikani lini yatapata huo umeme, Mh Muhongo, hizi nguzo mmeziweka na umeme hatupati, halafu mnasema manataka wakazi wa DSM wakae maeneo yaliyopimwa, malizeni miradi hii basi, isiwe ni adhabu kukaa kwenye maeneo yaliyopimwa, ni ajabu kubwa watu wamejenga nyumba kwenye makazi salama kama haya na umeme hamuweki, kwanni? Au mpaka Mh Magufuli aseme ndio mtafanya kazi?