TANESCO Moshi: Jana tumeingia hasara kubwa sana

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,044
3,798
TANESCO tumewachoka sema hatuna alternative. Kenya nasikia yapo mashirika mawili ya umeme, sijui kama ni kweli.

Sisi wakazi wa Mtaa wa Lombeta, kijiji cha Msaranga Kata ya Ng'ambo katika Manispaa ya Moshi Mjini Siku ya Jana tumeingia hasara kubwa sana.

Umeme uliongezeka na kuwa mwingi bila taarifa mida ya saa moja jioni tarehe 1/09/2016. Binafsi nimeondokewa na:

1. Fridge

2. TV

3. SUB-WOOFER

4. TAA ZOTE NYUMBA NZIMA

5. JIKO LA UMEME.

Mtaa mzima watu wanalia sana na maumivu ni makubwa. Je tumlilie nani atakayetusikiliza. Vitu vyenyewe tunaokoteza na awamu hii imeshajipambanua inabana matumizi. Tutatoa wapi vitu kama hivi tena?

TANESCO MOSHI, TUNA UCHUNGU SANA.
 
duuh! kuweni wavumilivu mtaitwa wa chochezi

Nahisi kama ni kisasi ivi ila anyway.....

Taa zililipuka kama mabomu. Saa hizi ndio nimechaji na kupost.
 
Tanesco tumewachoka sema hatuna alternative. Kenya nasikia yapo mashirika mawili ya umeme, sijui kama ni kweli.

Sisi wakazi wa Mtaa wa Lombeta, kijiji cha Msaranga Kata ya Ng'ambo katika Manispaa ya Moshi Mjini Siku ya Jana tumeingia hasara kubwa sana.

Umeme uliongezeka na kuwa mwingi bila taarifa mida ya saa moja jioni tarehe 1/09/2016. Binafsi nimeondokewa na:

1. Fridge

2. TV

3.SUB-WOOFER

4. TAA ZOTE NYUMBA NZIMA

5. JIKO LA UMEME.

Mtaa mzima watu wanalia sana na maumivu ni makubwa. Je tumlilie nani atakayetusikiliza. Vitu vyenyewe tunaokoteza na awamu hii imeshajipambanua inabana matumizi. Tutatoa wapi vitu kama hivi tena??????????????????????????????????????????????????????????????????

TANESCO MOSHI, TUNA UCHUNGU SANA.

Nendeni mkawashitaki
 
Jikusanyeni mtaa mzima muende mahakamani.Kama tatizo ni la mtaa mzima, kuna kila sababu ya kuamini kwamba kosa ni la TANESCO.Msilalamike tu,do something.You will be rrefunded, sheria ipo.
 
ebu kamuone jeneses kiwelu afanye utarati mlipwe fidia maana mitaa yenu kila siku mnatatz la umeme
 
Tanesco tumewachoka sema hatuna alternative. Kenya nasikia yapo mashirika mawili ya umeme, sijui kama ni kweli.

Sisi wakazi wa Mtaa wa Lombeta, kijiji cha Msaranga Kata ya Ng'ambo katika Manispaa ya Moshi Mjini Siku ya Jana tumeingia hasara kubwa sana.

Umeme uliongezeka na kuwa mwingi bila taarifa mida ya saa moja jioni tarehe 1/09/2016. Binafsi nimeondokewa na:

1. Fridge

2. TV

3.SUB-WOOFER

4. TAA ZOTE NYUMBA NZIMA

5. JIKO LA UMEME.

Mtaa mzima watu wanalia sana na maumivu ni makubwa. Je tumlilie nani atakayetusikiliza. Vitu vyenyewe tunaokoteza na awamu hii imeshajipambanua inabana matumizi. Tutatoa wapi vitu kama hivi tena??????????????????????????????????????????????????????????????????

TANESCO MOSHI, TUNA UCHUNGU SANA.
Imewahi kunitokea 2014 nikiwa mkoa flani. Tulienda TANESCO tulipigwa kiswahili Tu. Hua inatokea neutral imefloat kwa mafundi wanaelewa.
 
Tanesco tumewachoka sema hatuna alternative. Kenya nasikia yapo mashirika mawili ya umeme, sijui kama ni kweli.

Sisi wakazi wa Mtaa wa Lombeta, kijiji cha Msaranga Kata ya Ng'ambo katika Manispaa ya Moshi Mjini Siku ya Jana tumeingia hasara kubwa sana.

Umeme uliongezeka na kuwa mwingi bila taarifa mida ya saa moja jioni tarehe 1/09/2016. Binafsi nimeondokewa na:

1. Fridge

2. TV

3.SUB-WOOFER

4. TAA ZOTE NYUMBA NZIMA

5. JIKO LA UMEME.

Mtaa mzima watu wanalia sana na maumivu ni makubwa. Je tumlilie nani atakayetusikiliza. Vitu vyenyewe tunaokoteza na awamu hii imeshajipambanua inabana matumizi. Tutatoa wapi vitu kama hivi tena??????????????????????????????????????????????????????????????????

TANESCO MOSHI, TUNA UCHUNGU SANA.
Huko nje ya mji wanafanya kama mgao ambao haujatangazwa,kila alhamis na jmosi hadi wanaboa
 
Tarehe 1 sept
Mbarali kupatwa kwa jua
1 sept
Kupatwa kwa umeme moshi
Poleni sana
 
Tanesco tumewachoka sema hatuna alternative. Kenya nasikia yapo mashirika mawili ya umeme, sijui kama ni kweli.

Sisi wakazi wa Mtaa wa Lombeta, kijiji cha Msaranga Kata ya Ng'ambo katika Manispaa ya Moshi Mjini Siku ya Jana tumeingia hasara kubwa sana.

Umeme uliongezeka na kuwa mwingi bila taarifa mida ya saa moja jioni tarehe 1/09/2016. Binafsi nimeondokewa na:

1. Fridge

2. TV

3.SUB-WOOFER

4. TAA ZOTE NYUMBA NZIMA

5. JIKO LA UMEME.

Mtaa mzima watu wanalia sana na maumivu ni makubwa. Je tumlilie nani atakayetusikiliza. Vitu vyenyewe tunaokoteza na awamu hii imeshajipambanua inabana matumizi. Tutatoa wapi vitu kama hivi tena??????????????????????????????????????????????????????????????????

TANESCO MOSHI, TUNA UCHUNGU SANA.
Hahaaa nilihisi kaondoka MTU..hivi jipange tu non refundable
 
KUNA MAZA HAPA NDO ALIKUWA AMENUNU BONGE MOJA LA FLAT WATU WAJAE BAR KWA AJILI YA MPIRA. IMEUNGUA NA MAFRIJI YAMEUNGUA.
 
TANESCO tumewachoka sema hatuna alternative. Kenya nasikia yapo mashirika mawili ya umeme, sijui kama ni kweli.

Sisi wakazi wa Mtaa wa Lombeta, kijiji cha Msaranga Kata ya Ng'ambo katika Manispaa ya Moshi Mjini Siku ya Jana tumeingia hasara kubwa sana.

Umeme uliongezeka na kuwa mwingi bila taarifa mida ya saa moja jioni tarehe 1/09/2016. Binafsi nimeondokewa na:

1. Fridge

2. TV

3. SUB-WOOFER

4. TAA ZOTE NYUMBA NZIMA

5. JIKO LA UMEME.

Mtaa mzima watu wanalia sana na maumivu ni makubwa. Je tumlilie nani atakayetusikiliza. Vitu vyenyewe tunaokoteza na awamu hii imeshajipambanua inabana matumizi. Tutatoa wapi vitu kama hivi tena?

TANESCO MOSHI, TUNA UCHUNGU SANA.
Hapa ndipo utakapogundua kwanini pamoja na yote hayo zikatengenezwa stabilizers,ups na pengine hata fridge guards,punguza kulalamika kama mtoto wa kambo
 
Back
Top Bottom