TANESCO Morogoro mnakera!

hunchback

JF-Expert Member
Nov 10, 2014
658
289
Nimetoka kazini kwa haraka na hamasa kubwa nafika nyumbani niangalie mjadala wa Katiba mpya unaoendelea Mlimani City nakuta umeme umekatwa. Kwa nini mnajidhalilisha hivyo shirika la umeme kujiingiza kwenye siasa ni aibu kubwa kwa taifa. Nina wasiwasi huu umeme utakatwa kwenye mjadala wa Escrow ili kutunyima haki ya kupata habari. Looh aibu yenu Tanesco!
 
Unafikiri wanapenda kukata? Kuna external force imewaamuru kufanya hivyo, amma kweli nchi inatawaliwa kimabavu sasa
 
Nimetoka kazini kwa haraka na hamasa kubwa nafika nyumbani niangalie mjadala wa Katiba mpya unaoendelea Mlimani City nakuta umeme umekatwa. Kwa nini mnajidhalilisha hivyo shirika la umeme kujiingiza kwenye siasa ni aibu kubwa kwa taifa. Nina wasiwasi huu umeme utakatwa kwenye mjadala wa Escrow ili kutunyima haki ya kupata habari. Looh aibu yenu Tanesco!

Wakikata tena nawewe ng'oa kabisa service line maana wanasema jino kwa jino
 
Back
Top Bottom