TANESCO MORO

Matapishi

Member
Mar 14, 2012
12
0
Tanesco Morogoro mnakera sana ni siku ya nne sasa mmekuwa mkikata umeme na kuwasha mnavyojisikia nyie nyakati za usiku na wala hamtoi taarifa kama kuna tatizo na mbaya zaidi mkipigiwa simu kitengo cha Dharura hampokei simu zaidi ya kukata ili muonekane mpo busy hii ina kera sana au ndio mpango wenu wa kuunguza vifaa vya wateja wenu?Badilikeni naona hamjitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom