Tanesco mnatuuwa watanzania

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Kwangu kuna vyumba v5,,,,,na sroom ,,kuna fridge 2,,zenye compresor moja moja kila 1,taa za utumbo,feni 4 ceilling fan,table fane 1 desktop 1 inayowashwa masaa 5 kila sk, tv 2 na deck zake,. Umeme ninaotumia kwa week ni wa 30000,nikiwasha fridge 1,nisipowasha fridge natumia 20000 kwa week..inakuwje wanajamii hii si kifo kweli au ni sawa? Matumizi ya kawaida niyapi?
 
ukitumia umeme wa 30,000 ujue umeme uliotimia ni wa 8,000 au chini ya apo,nyingne zinazoongezeka ni kodi hizo
 
Kodi inazidi matumizi? Tuangalie hii kitu vzu,bora 8000 iwe kodi na iliyobaki iwekwe kwenye matumizi.
 
Kodi inazidi matumizi? Tuangalie hii kitu vzu,bora 8000 iwe kodi na iliyobaki iwekwe kwenye matumizi.

kwa tanzania wanaonea sana wananchi,jaribu kuchukua risit uliyolipia luku utaona ninalosema,kodi kibao,zinazidi gharama ya unit uliyotumia umeme
 
ni tishio kwa kweli; waziri mpya nishati na madini aachane na mtindo wa kurithi mfumo kandamizi; hata kama watamsema kama walivyomsema wakati akikiri uwepo wa uozo pale tanesco; hata hii gesi tunayoishabikia naamini kwa nchi hii tz bado haitasaidia kushusha chin gharama za umeme hapa nchini kwa vile tu kitu kidogo, wala mafuta yakipatikana tusitegemee sana tukunufaisha watz kwani mfano tushaona ktk madini; kwa mfumo uliopo watu wanweza kuja na mpango wa ku-export ili kuongeza pato la taifa hata kabla hatujatosheka wenyewe; mwishowe kuuziwa mafuta au gesi kwa bei za kilanguzi kama ilivyo sasa. bei ya umeme iko juu sana kwa watz wote; muda kidogo tu ujao watu tutarudi ktk vibatarina taa za chemuli
 
sasa kampuni ifikirie kupunguza gharama ya Umeme>!!!
{1}.mikataba mibovu irekebishwe.
{2}.umeme wa dharura usitishwe.
{3} serikali iwekeze kwenye Tanesco;
{4} vifaa vya umeme (meters,and other accessories)vinunuliwe kutoka kwa viwanda sio kupitia madalali(middlemen,brokers)
{5}.shirika libadili mtazamo;huduma isambazwe kwa kila anayehitaji umeme,ili shirik aliongeze kipato,na bei iweze kushuka.!!!
 
Back
Top Bottom