TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Habari wana JF,

Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.

Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.

Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.

Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
 
Hilo tatizo lipo kila mahali kwa hapa Dar. Sijui tatizo nini.
 
Hapa ubungo ndo tushazoea wanakata mara nne kwa siku
Habari wana JF,

Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.

Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.

Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.

Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
 
Hivi nn????.....kinachozuia Tanzania kuwa na mashirika meng ya umeme kama yalivyo ya sumu????
 
Habari wana JF,

Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.

Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.

Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.

Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
..Mtoni Kijichi na mbagala kuu, leo siku ya tatu wanakata kama mara 2-3 na kwa masaa ya kutosha
 
Watangaze tu wasione aibu huku kwetu kwa siku umeme unaweza kukatwa hata mara mbili
 
hili swala akiongea lissu tu kesho tanesco, viongozi wa dini, TFF, serikali, raisi, mwenyekiti wa soko kariakoo, mkuu wa wamachinga tanzania na wengine wengi,
watatoa majibu
 
Habari wana JF,

Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam.

Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote.

Huku Kimara leo hata siku haijaisha wameshakata mara mbili.

Yaani tunapigwa spana kimya kimya.
Itakuwa kinyume na matamshi ya "Mungu mtu" kwamba "kitabu" chake hakina mgawo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom