Tanesco mmetusahau umeme buguruni siku ya 3

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Leo ni siku ya 3 tangu umeme ukatike Maeneo haya ya BUGURUNI, sasa tumeshindwa kuelewa Kuna Hitilafu, au Mgao siku tatu tatu au wamejisahau kuturudishia.
 
na sisi wa ( sipataji) pia wametusahau mana wiki ya pili hii mambo safi haukatiki labda kwa dakika chac he tu. poleni burner.
 
Yakiitishwa maandamano kuna watu watasema kuna chama fulani kinataka kuharibu 'amani' yetu. Poleni sana, lakini serikali iko kwenye likizo ndefu mpaka 2015.
 
Back
Top Bottom