Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,492
- 102,358
Sasa utaishije!!
Huko vijijini wanaishije? Maana hawana maji ya bomba wala umeme na wanaishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa utaishije!!
Huyo huyoNdiyo yule aliwanyima wafanyakazi wa NBC wasipaki magari yao kwenye parking za NBC ili aweze kupaki magari yake lukuki ya kifahari mwenyewe?
JF bana dahAnza wewe na mumeo kwanza
Hapo umedhirisha uafrica kabisaa...waafrica wamezoea kuish kimakskn sana..yaan ukose maji na umeme..unaona ni sawa..magu alikuwa anawanyoroshaa wezi wa nchi hii..bas na ww ulikiwa mwiz jombaBora nisiwe na umeme ama maji ya bomba kuliko kutawaliwa na mtu muovu.
Hapo umedhirisha uafrica kabisaa...waafrica wamezoea kuish kimakskn sana..yaan ukose maji na umeme..unaona ni sawa..magu alikuwa anawanyoroshaa wezi wa nchi hii..bas na ww ulikiwa mwiz jomba
Nchi iPo kwenye uchumi wa katiKwenye hii issue ya umeme nitakataa kila kauli inayotoka kwa wanasiasa wetu Hawa.... Mheshimiwa Rais ifikie hatua ajue kwamba yeye sio msemaji wa kila kitu....na hotuba zake zisilenge kuwatetea watendaji wake. Huku chini WANANCHI tunateseka Sana maana tuliowategemea japo kukemea wametetea.
WANANCHI tunataka huduma za msingi Kama vile maji na umeme. Kumbuka mlituwekea tozo nyingi kwa kutuaminisha kuwa zinaenda kutusaidia kwenye social services.....
We need water.
We need electricity.
Hizi akili hiziHuko vijijini wanaishije? Maana hawana maji ya bomba wala umeme na wanaishi