TANESCO mbona makato mengi sana? Anayejua ni ya nini anijuze

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,204
4,211
Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget?

=====
VAT
EWURA
REA
TRAN FEE??? Ni nini hiki?

20210619_103227.jpg
 
Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget?
Binafsi nashindwa kuelewa! Inakuwaje ukiweka umeme wa elfu 50 speed yake ya kwisha inakuwa kubwa kiasi inatisha! Inakulazimu uweke wa elfu kumi kumi kuogopa umeme kwisha kwa speed! Niliuliza nikaambiwa ukiweka units nyingi Tanesco wanakubadilishia tarif ya matumizi wanahisi unakiwanda! Hii haijakaa kisayansi kabisa!
 
Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget?
Hayo makato mapya ila mwanzo hayakuwepo kwakweli

*Payment Successful.22132348743
99001216223508673
Units 1.5KWH

Token 5573 4775 7923 0706 5898

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
TOTAL 500.00 03/03/21 23:50*

Hizi ndo risiti ninazozijua
 
Hayo makato mapya ila mwanzo hayakuwepo kwakweli

*Payment Successful.22132348743
99001216223508673
Units 1.5KWH

Token 5573 4775 7923 0706 5898

Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
TOTAL 500.00 03/03/21 23:50*

Hizi ndo risiti ninazozijua
Hii ni ya zamani mkuu
 
Hiyo ndo tunayochangia nadhani ujenzi wa SGR, bado kwenye mafuta kwa ajili ya TARURA
 
Ni transction fee nafikiri maana ukinunua kwa simu mfano umeme wa buku utaambiwa makato ni sh. 40.
 
Back
Top Bottom