Tanesco leo vipi?

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,327
521
Yaani tangu saa 2 asubuhi leo hakuna huduma ya kununua luku si kwa mawakala wala kwa mpesa maeneo ya hapa Kibaigwa-Dodoma

Hakuna taarifa wala nini.
Kila ukienda kwa wakala unaambiwa mtandao hamna.

Au ndio mko bise kumshtaki Mhando ndio kunafanya wote tukose huduma hii muhimu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom