Msemajiwao
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 619
- 1,513
Nadhani hiyo ni Dar ila wameongeza manjonjo kwa computer na pia sidhani kama we hujui hiyo ni darHawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Hawa jamaa hivi wapo serious?

Kutotembea sio ushamba mada yako ndio ya kishambaAma huenda Mimi mshamba sijatembea mwenye kujua sehemu hiyo hapa bongo aniambie ni wapi hapo!
Wewe unayejua mwambie hapo ni dar sehemu ganNadhani hiyo ni Dar ila wameongeza manjonjo kwa computer na pia sidhani kama we hujui hiyo ni dar
Dar hapoHawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Kulia chini posta ukipanda juu kuelekea kushoto Maktaba street, ghorofa mbili ambazo hazijakamilika opposite na Holiday Inn, na kanisa liko pale linaonekana.Wewe unayejua mwambie hapo ni dar sehemu gan
Mkuu mbona ni Darisalama hiyo au hujawahi fika mjini karibuni?Hawa jamaa hivi wapo serious?
Wameamua kuweka picha ya jiji la wenzetu huko Ulaya, kuonyesha ujumbe Wa "Tanesco tunaangaza maisha yako"
Hivi hii ni zarau au hawajielewi?
Bora wangeweka picha ya mbalamwezi hakiyanani kuriko usanii huo.
===========
Nawafananisha na mtu aliyeweka picha ya mchepuko profile picture halafu status akaandika "Nakupenda Mme/Mke Wangu"
View attachment 645232
Haina ubishi hiyo..........Kulia chini posta ukipanda juu kuelekea kushoto Maktaba street, ghorofa mbili ambazo hazijakamilika opposite na Holiday Inn, na kanisa liko pale linaonekana.
Kuna DIT hapo?
Acha wivu hapo ni Dar.. Exim Tower huioni, DIT napaona kabisa