piga simu kwa mwanamke anajiita babra akupe kiswanglish chake you know because of yaani ni shida sanaa ila mafundi soon wanarekebisha so msiwe na haraka slow but sure aisee kuna wasanii serikalini mpaka waanawake nilijua wakina naniii tu
Mi mwenyewe najiuliza ga ningejua mzazi wa rostam ningemuuliza hili maana unaweza teseka kukaa kwenye luku kumbe ukutakiwa kukaa kwenye folen kama rostam
Tumelalamika kuhusu mgao tukazoea wakatuletea mgao wa mafuta nao tumezoea na sasa ni mgao wa unit za umeme je tz yetu inakoelekea ndipo tunakotarajia?vijana ni wakati wenu sasa play ur part kulikomboa taifa letu
Ujinga wa koboko kwa nini waliamua kutufungia hizo mita zao za kipumbavu?yaani unaenda asubuhi kununua umeme unarudi jioni,halafu na sisi tunakubaliana nao tu kwa upuuzi wanaotufanyia,kwani zile mita za awali zilikuwa na matatizo gani?WANACHOFANYA KOBOKO NI DILI ZA WANA CCM AKINA ROST HAMU KWANI NANI HAJUI?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.