Tanesco kusoma mita kutokea makao makuu Dar ni wizi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco kusoma mita kutokea makao makuu Dar ni wizi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jotu, May 18, 2012.

 1. J

  Jotu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  Hivi karibuni Tanesco imeanzisha utaratibu mpya wa kusoma matumizi ya umeme katika mita kutokea makao makuu Dar. Mita mpya zilizowekwa huwa juu sana katika mlingoti wa umeme ambayo mtumiaji hawezi akajua ametumia umeme kiasi gani tofauti na zamani ambayo mtu angeweza soma kiasi alichotumia. Tanesco inachofanya ni kutuma kila mwisho wa mwezi bill ambayo mlaji huwezi kujua kama ni bill halali. maana yake huwezi kuague kabisa lako ni kulipa. Je mlaji anajuaje kuwa ametumia kiasi hicho? Nadhani tunaweza kuibiwa.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ndio ni Wizi; USA pamoja na Techno development lakini bado wanatuma watu majumbani kusoma meter na kufananisha na za maofisini mwao

  Kwani Jua ni kali kutuma wapima meter au hawataki kuwalipa Mishahara? Waiweke Mifukoni kama Wafanyakazi Hewa? na Kutoza Wananchi Umeme bei ya Juu?
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wizi mweupe huu
   
 4. M

  Masabaja Senior Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 139
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu hapa kuna utata mimi mwenyewe nimewekewa, nilienda kuomba kuapgrade kutoka single phase kwenda three phase. Kwa kusema ukweli nilicho experience toka nimewekewa hiyo mita gharama zimeshuka, kabla ya hapo nilkuwa nalipa wastani wa elfu themanini hadi laki moja lakini sasa nalipa elfu hamsini hadi sitini na matumizi ni yale yale sasa sijui ni kwangu tuu. Na mimi kilichonifanya niupgrade nilikuwa naexperience low voltage. Labda wenzangu mnaexperience gani na hizi mita za mlingotini mimi naona imenipa advantage.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa wachakachuaji hii ni issue
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Safi sana, vishoka ndio wameliwa sasa....:lol:
   
Loading...