TANESCO Kusimamisha utoaji wa huduma LUNCH time

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
11,860
2,000
wana JF, nimefika tanesco Kisarawe kupata huduma nikakuta lango kuu limefungwa kwa komeo, mlinzi kaniambia wahusika wameenda kula hivyo nije saa nane, sikujua kama mtindo huu bado upo kwwenye mashirika ya umma yanayotoa huduma isiyo na mbadala, nilitegemea kuwa angalau kungekuwa na sehemu ya kusubilia angalau waheshimiwa wakishiba wakukute kwenye kivuli. kwa maoni yangu hali hii haina tija na inausmbufu kwa wateja.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom