Kwa nini na wao wasilipie? Huu utaratibu nani aliuanzisha aisee.....hawa wafanyakazi huwa wanapandishs hovyo hovyo kwa sababu hawaathirika hata hivi tunavyolalamika wao huona kawaida ila kama na wao wangekuwa wahanga wasingefanya huu ujinga walah!!shida ubinafsi ndo utatuangamiza watu weusi,,,hata kwenye mwendosi utakuta mtu kajitanua kama mbuzi inazaa mlangoni watu wanapumuliana mdomoni,,tuache ubinafsi,,kama huyo bwenyeye hajui hata lini alilipa bili ya umeme..wao si ndo wanapewa unit sijui ngapi kila mwezi vyumba vyote viyoyoz,,,nilihama nyumba ya mfanyakz wa tanesco karibu nilie,,umeme ulikua unatumia chochote kinachotumia umeme na bado luku ilikua namba zimejaa kwenye screen ya luku,,,dadaaaa
Yeah,tozo za simu na mabenki walisema mtumiaji hatolipia yatalipia makumpuni ya simi na mabenki lakini leo tunalia!!Hii kauli haina tofauti na ile ya kupandisha tozo ya simu....
Kaongee na Magufuli moja kwa moja maana we uko nae karibu pia mwambie hawa wafanyakazi wa Tanesco nao wawe wanalipia umeme!!Hao watumiaji wakubwa ndio wazalishaji wakuu wa bidhaa. Kuwaongezea gharama za umeme kutasababisha kupanda kwa gharama za bidhaa zao hali itakayowaathiri wananchi wa kawaida ambao ndio watumiaji wa mwisho. Serikali isimamie hilo kuhakikisha kuwa hakuna kupanda kiholela kwa gharama za umeme
Kwani anaetaka kupandisha umeme ni mtu binafsi? Mpaka useme serikali isimamie hili.Hao watumiaji wakubwa ndio wazalishaji wakuu wa bidhaa. Kuwaongezea gharama za umeme kutasababisha kupanda kwa gharama za bidhaa zao hali itakayowaathiri wananchi wa kawaida ambao ndio watumiaji wa mwisho. Serikali isimamie hilo kuhakikisha kuwa hakuna kupanda kiholela kwa gharama za umeme