TANESCO: Kupanda bei ya umeme hakutaathiri wateja wa kawaida

.........wateja wadogo hawatoathirika sana....maana yake ni kwamba watathirika ila sio sana directly pia kuathirika sana indirectly. Ngoja niende zangu mimi hii nchi hii!!
 
shida ubinafsi ndo utatuangamiza watu weusi,,,hata kwenye mwendosi utakuta mtu kajitanua kama mbuzi inazaa mlangoni watu wanapumuliana mdomoni,,tuache ubinafsi,,kama huyo bwenyeye hajui hata lini alilipa bili ya umeme..wao si ndo wanapewa unit sijui ngapi kila mwezi vyumba vyote viyoyoz,,,nilihama nyumba ya mfanyakz wa tanesco karibu nilie,,umeme ulikua unatumia chochote kinachotumia umeme na bado luku ilikua namba zimejaa kwenye screen ya luku,,,dadaaaa
Kwa nini na wao wasilipie? Huu utaratibu nani aliuanzisha aisee.....hawa wafanyakazi huwa wanapandishs hovyo hovyo kwa sababu hawaathirika hata hivi tunavyolalamika wao huona kawaida ila kama na wao wangekuwa wahanga wasingefanya huu ujinga walah!!
 
Hao watumiaji wakubwa ndio wazalishaji wakuu wa bidhaa. Kuwaongezea gharama za umeme kutasababisha kupanda kwa gharama za bidhaa zao hali itakayowaathiri wananchi wa kawaida ambao ndio watumiaji wa mwisho. Serikali isimamie hilo kuhakikisha kuwa hakuna kupanda kiholela kwa gharama za umeme
Kaongee na Magufuli moja kwa moja maana we uko nae karibu pia mwambie hawa wafanyakazi wa Tanesco nao wawe wanalipia umeme!!
 
Hao watumiaji wakubwa ndio wazalishaji wakuu wa bidhaa. Kuwaongezea gharama za umeme kutasababisha kupanda kwa gharama za bidhaa zao hali itakayowaathiri wananchi wa kawaida ambao ndio watumiaji wa mwisho. Serikali isimamie hilo kuhakikisha kuwa hakuna kupanda kiholela kwa gharama za umeme
Kwani anaetaka kupandisha umeme ni mtu binafsi? Mpaka useme serikali isimamie hili.
Nyie maccm bhana sie tunawajua, Fanyeni mtakavyo tu hii sijui kushieikisha wadau ni janja nyani tu. Mkiamua lenu na haya matasisi yenu ya kujifanya yako kwa ajili ya wananchi kama ewura mmeamua na mtalitekeleza tu. Tulipinga makato kwenye huduma mbalimbali msiongeze kodi ya thamani ambayo kisheria analipa ni mtumiaji wa mwisho lakini hamkutusikia mkafanya mnavyotaka kwa kutuongopea et kodi italipa makampuni kumbe wapi!! Sasa na hili nyie ongeni tu sisi tutalipa maana mnatuona wajinga kweli et ongezeko hili halitamuhusu mtumiaji wa kawaida kweli CCM NI ILE ILE.
 
Back
Top Bottom