Tanesco kunanini? Luku zimekuwa gumzo kila mahali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco kunanini? Luku zimekuwa gumzo kila mahali

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by No admission, Mar 6, 2012.

 1. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana Jamvi;

  Naomba niwasilishe hii mada ya ukosefu wa mita za LUKU. Toka mwaka jana (October 2010) wateja wapya wa TANESCO wamekuwa wakizungushwa bila kuelewa wapi waelekee kwani kumekuwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa mita za LUKU. Tanesco wamekuwa wanatoa ahadi hewa kila ukienda kufuatilia na wiki kama mbili zilizopita afisa uhusioano wa Tanesco Badra Masudi alikiri kuwepo kwa tatizo la luku lakini akasema limeshatatuliwa lakini toka itolewe hiyo taarifa hakuna lolote linaloendelea.

  Jamani Tanzania Tunaelekea wapi?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hakuna meter za LUKU hili ni kweli, kuna ndugu yangua lipata tatizo la LUKU ilikuwa inaoverheat unapowasha A/C kwenye biashara yake amefuatilia miezi kadhaa mpaka mwisho ukajulikana ukweli hakuna meter za LUKU, bahati nzuri tatizo limegundulika lilikuwa kwenye circuit breaker.
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Taarifa ya Tanesco wiki iliyopita, inasema shirika limepokea mzigo wa kutosha wa mita LUKU wale waliokuwa wanasubiri wawasiliane na ofisi za Tanesco za eneo lao, kulipia na kufungiwa mita.
   
Loading...