Tanesco kuna nini tuambiwe ukweli

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
169
Siku ya leo maeneo mengi ya jiji wamekata umeme
jana wametangaza bei mpya kuongezeka kuanzia january au wanatafuta fedha za fidia ya dowans!!!!!!!!

Hatuwezi pata mpinzania wa tanesco kama ilivyokuwa kwa ttcl? Kuondokana na hii kero ya ngeleja na wenzie!!!!!!!!!!!!!! Siku hizi hakuna tena shida ya mawasiliano ya simu
 
Naipenda nchi yangu ila siwapendi watendaji wa nchi hii, daima hawakosi visingizio.
TANESCO TANESCO TANESCO...Hivi hakuna kampuni zingine ambazo zaweza kupewa kibali cha kuendesha huduma hii muhimu kwa nchi ya NISHATI?
Hali hii ni mpaka lini?
 
Back
Top Bottom