TANESCO: Kukosekana kwa umeme katika baadhi ya maeno ya mkoa wa Kinondoni Kaskazini

viatu virefu

Senior Member
May 25, 2015
165
20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Kinondoni Kaskazini linawataarifu wateja wake kuwa njia ya umeme ya msongo wa 33kV inayounga Masaki, imezimwa kwa masaa 4. Kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Kuna kazi ya kukata miti inayokaribia line hiyo pamoja na kufunga Breaker. Maeneo yanayokosa umeme ni Masaki yote, Msasani, baadhi ya maeneo ya Oysterbay, Tumbawe st , St. Peters na Mahenge St.

Matangazo yametolewa TBC, magazeti ya Uhuru, Guardian, Majira na Daily News.

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Back
Top Bottom