TANESCO kuagiza mitambo ya Solar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO kuagiza mitambo ya Solar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tobycow, Aug 2, 2011.

 1. tobycow

  tobycow Senior Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Shirika la kusambaza umeme hapa nchini Tanesco limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na kina kidogo cha maji ya bwawa la mtera baada ya kutoa mkakati mpya kabisa wa kuagiza mitambo ya kisasa kabisa ya kutengeneza umeme kwa kutumia mionzi ya jua.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  walikuwa wapi siku zote hawa wazushi? nahisi hata hizi zitakuwa porojo tuu au utasikia megawati 10 tuu aaargh tumechoshwa na ubabaishaji
   
 3. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  The people who refused to think! wanatakiwa waje na something serious ..tuna kila ki2 upotevu wa mipesa kibao kila siku kwa miradi ya kijingajinga as if hakuna anayeweza kufikiria aaah! rubish :)
   
 4. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  mradi wasije wakakurupuka tu.Je kuna nchi yeyote imefanikiwa kwa staili ya umeme wa sola?.
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  zimetushinda za kwenye traffic lights
  ni kuendeshea maisha???

  naanza kunusa kaharufu ka 10%
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Kama mipango yao ni kama hii kitu hapo juu basi afadhali ila kama ni issue ya kuleta 2mw basi huenda itafaa wakipeleka nguvu zao pengine au Serikali ishushe bei za solar na kutoa ruzuku ili watu waweke solar kwenye nyumba zao
   
 7. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  source plz....
   
 8. y

  yegomwamba Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama mipango yao ni kama hii kitu hapo juu basi afadhali ila kama ni issue ya kuleta 2mw basi huenda itafaa wakipeleka nguvu zao pengine au Serikali ishushe bei za solar na kutoa ruzuku ili watu waweke solar kwenye nyumba zao


  Voice of Reason naunga mkono hoja,big up
   
Loading...