TANESCO Kisarawe ni wababaishaji

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Mheshimiwa Katibu Mkuu,

Sisi wakazi wa Chanika Buyuni PSPF Flats tunawasilisha kwako malalamiko kuhusu ubababishaji wa TANESCO Kisarawe kwa kuchelewesha kwasababu wanazozijua wenyewe kutuunganishia Umeme wananchi tulionunua nyumba za PSPF tunaokaribia kumi (10) kwa kipindi cha wiki mbili sasa huku wakiahidi kuja bila mafanikio.

Ajabu ni kwamba kuna mama mmoja amehamia siku 6 zilizopita na yuko jirani yetu lakini ameunganishiwa Umeme juzi kwa kigezo ambacho hatukijui!

Hili ni jipu linalipaswa kutumbuliwa mapema maana haliendi sambamba na kasi ya JPM.

Mheshimiwa Katibu Mkuu chukua hatua.

TANESCO KISARAWE WANAKUANGUSHA
 
Mheshimiwa Katibu Mkuu,

Sisi wakazi wa Chanika Buyuni PSPF Flats tunawasilisha kwako malalamiko kuhusu ubababishaji wa TANESCO KISARAWE kwa kuchelewesha kwa sababu wanazozijua wenyewe kutuunganishia Umeme wananchi tulionunua nyumba za PSPF tunaokaribia kumi(10) kwa kipindi cha wiki mbili sasa huku wakiahidi bila mafanikio.

Ajabu ni kwamba kuna mama mmoja amehamia siku 6 zilizopita na yuko jirani yetu lakini ameunganishiwa Umeme juzi kwa kigezo ambacho hatukijui!!


Hili ni jipu linalipaswa kutumbuliwa mapema maana haliendi sambamba na kasi ya JPM.

Mheshimiwa Katibu Mkuu chukua hatua.

TANESCO KISARAWE WANAKUANGUSHA
 
Tanesco ni jipu kubwa sana linatakiwa litumbuliwe haraka sana LA sivyo itakuwa kansa
 
Waje na huku kimele maana ni shida kila siku tunapigwa tarehe tuuu. Tumefatilia lakini wapi tanesco acheni kulala mnamuaibusha JPM kama vp ofisi zinawashinda wapisheni wengine
 
Back
Top Bottom