TANESCO Kinondoni mnatia aibu...Mh. Mdee tusaidie watu wako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO Kinondoni mnatia aibu...Mh. Mdee tusaidie watu wako

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mafinga kwetu, Oct 20, 2011.

 1. m

  mafinga kwetu Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni takribani siku nane hivi maeneo ya lufungira/mlalakuwa hatuna umeme...tumejalibu kufuatilia kwa nini hawashughurikia wanasema eti transformer imehalibika....wanachofanya wanapita kwenye nyumba za mtaani wanakusanya kwa wale wenye pesa wanawahamisha line...

  Kwa uchunguzi tuliofanya tumegundua wanachelewesha kusolve tatizo ili waendelee kuvuna pesa.....................customer care tukipiga miyeyusho...
  Mh Mdee nadhani ni wewe pekeee unaweza kutusaidia kuepukana na kero za hawa mafisadi...Thanx
   
Loading...