TANESCO Kinondoni mnatia aibu...Mh. Mdee tusaidie watu wako

mafinga kwetu

Member
Nov 21, 2010
35
3
Ni takribani siku nane hivi maeneo ya lufungira/mlalakuwa hatuna umeme...tumejalibu kufuatilia kwa nini hawashughurikia wanasema eti transformer imehalibika....wanachofanya wanapita kwenye nyumba za mtaani wanakusanya kwa wale wenye pesa wanawahamisha line...

Kwa uchunguzi tuliofanya tumegundua wanachelewesha kusolve tatizo ili waendelee kuvuna pesa.....................customer care tukipiga miyeyusho...
Mh Mdee nadhani ni wewe pekeee unaweza kutusaidia kuepukana na kero za hawa mafisadi...Thanx
 
kuna jamaa amenieleza pia kuwa huko kwao Tegeta kuna tabia imeibuka siku hizi umeme unakatwa usiku wa manane na kurudishwa alfajiri kana kwamba labda unazimwa ili kuruhusu uhalifu ufanyike.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom