Tanesco kigoma ndio ufisadi au nini? Giza siku 3 kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco kigoma ndio ufisadi au nini? Giza siku 3 kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Aug 7, 2011.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wanajf najua nchi yetu kwa sehemu kubwa bado inapata machungu ya mgao wa umeme kutoka gridi ya taifa, hapa kigoma generator mpya zilizozinduliwa kwa mbwembwe na Raisi Kikwete mwezi wa tano 2010 sasa ni "white elephant". Mji wa kigoma kwa siku 3 sasa uko gizani generator zimezimwa na hakuna maelezo ya maana kutoka kwa uongozi wa Tanesco kigoma....jamani tukimbilie wapi sasa kila mahali ni giza totolooo!
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mafuta hamna!
  Waarabu bado wamegoma
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Na 2015 mwendelee kurudia makosa afu mje lalamika tena humu jf
   
 4. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kwa taarifa ambazo si rasmi zinasema bado hakuna maelewamo kati ya bei ya mafuta ya Tanesco kununua, kwa hivyo jamaa wamegoma mpaka muafaka upatikane na vile vile wapo na malori maeneo ya kibondo wanasikilizia kwa hivyo hata leo ni giza.
   
Loading...