Tanesco kigamboni hivi huwa mnapatwa na nini hadi iwe haimaliziki wiki bila ya kukata umeme usiku?
Kuna matatizo mengi ya uhalifu eneo hili, idadi ya askari ni ndogo na maeneo mengi hayajajengwa au hayana wakazi, sasa hii ya kuzima umeme karibu Mara 2 au 3 kwa wiki tena muda wa usiku mbona kama mnatuhujumu?
Mameneja wa tanesco na viongozi wa wizara hebu chunguzeni na ntusaidie kutumbua jipu hili!

- Hivi huwa mnafanya shughuli gani mida hiyo?
- Hayo yanayofanyika usiku hayawezekani kufanyika mchana?
- Huwa mnafahamu kuwa Kuna tatizo kubwa la uharifu na mnawaweka kwenye wakati mgumu askari na wananchi wa eneo husika?