kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,060
Mimi sijui tuwafanyaje hawa watu!
Yaani mheshimiwa Rais ni kama walikusubiri uzindue mitambo tu ili walianzishe!
Umeme wiki ya tatu sasa ni katikakatikakatika....hadi lini hali hii?
Maeneo mengi ya mji umeme si wa uhakika wiki hizi.
Tunapiga kelele hadi tunachoka.
Tanzania ya teknolojia na viwanda bila umeme wa uhakika!